Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nikuchape mkononi au matakoni? Walimu bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku hizi helmet zimebadilika. Hata uwe na kichwa kikubwa namna gani kinaingia tu yaani tena kinadumbukiamo chubwi! [emoji51]
Huwa unazifanya nini? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji2099][emoji2099]Aahahahhahaaaa my favorite part kendez .... [emoji39][emoji39][emoji39]
No kwichi kwich hotaeI you know you know...
View attachment 2169490
Napenda sana kuona mtoto anaonesha kufurahiWe acha tu. Last borns tunajuana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2169461
Huwa ni furaha ya kweli na kielelezo halisi cha upendo ...Napenda sana kuona mtoto anaonesha kufurahi