Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Wameni-adopt wasukumaWe ni Msukuma? Maana hao jamaa ndo mabingwa wa kula kula safarini![]()
Siku moja natoka shule mchana jua limewaka hatari. Kulikuwa na matunda fulani matamu sana yanafanana na zabibu nyekundu kwa Kisukuma yanaitwa nhundwa. Basi nikayaona yameiva mtini huyo nikatupa kimfuko cha madaftari huko nikaenda kuparamia. Kumbe ndo maviota ya hawa jamaa yako pale. Ukisikia kula za uso ndo siku hiyo sasa. Walinitandika nikatoka mbio mpaka home hata mfuko wa madaftari sikuukumbuka tena. Kichwa chote moto, kamasi si kamasi na kesho yake hata shule sikwenda...heshima yao sana hawa jamaa japo muziki wao haufikii wa nyuki wala nge!
Uke wenza na wake wenzio 700 na michepuko 300 utauweza?![]()
Mitchelle is confused!



Na kwenu pisi za Kichaga ndo kabisaa. Pesa ndo kila kitu yaaniPenye pesa huwa hapaharibiki jambo![]()






Kama nakuona ulivyofika home, na kudeka kwa mama last bornSiku moja natoka shule mchana jua limewaka hatari. Kulikuwa na matunda fulani matamu sana yanafanana na zabibu nyekundu kwa Kisukuma yanaitwa nhundwa. Basi nikayaona yameiva mtini huyo nikatupa kimfuko cha madaftari huko nikaenda kuparamia. Kumbe ndo maviota ya hawa jamaa yako pale. Ukisikia kula za uso ndo siku hiyo sasa. Walinitandika nikatoka mbio mpaka home hata mfuko wa madaftari sikuukumbuka tena. Kichwa chote moto, kamasi si kamasi na kesho yake hata shule sikwenda...heshima yao sana hawa jamaa hapo muziki wao haufikii wa nyuki wala nge!
#tbt
Aah wapiMitchelle is confused!
I don't see the common denominator in her analogy!
Alichemsha maziwa mabichi halafu akanikanda nayo usoni eti yanasaidia kupunguza uvimbe...manyigu hovyo sana!
Na kwenu pisi za Kichaga ndo kabisaa. Pesa ndo kila kitu yaani![]()
Pole Cha kudeka, hukulilia na nyonyo?Alichemsha maziwa mabichi halafu akanikanda nayo usoni eti yanasaidia kupunguza uvimbe...manyigu hovyo sana!






kwa ndotoNimeipenda hii