BlueIvy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 1,038
- 2,898
Wanawake n makatili saaaana, sema n vle tu........
Aendelee kupumzika salama. Alitimiza kusudi lililomleta hapa duniani. Bado sisiHii serikali na mambo yanavyoenda wanatufanya tukumbuke mzee. Eti bei ya vitu kisa vita ya Ukraine ingekua COVID ingekuaje
View attachment 2154291



We ni Msukuma? Maana hao jamaa ndo mabingwa wa kula kula safarini



Uke wenza na wake wenzio 700 na michepuko 300 utauweza?Suleiman, nmesoma kuwa alikuwa tajir mnoooo. Ningependa anioe pia, s tuishie kwny kuonana tu![]()


