Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ushindwe. Hakuna mahali kuna chakula kizuri kama Bariadi [emoji16][emoji16][emoji16]Bariadi
Kidodombi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2144845
.Kidodombi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
BAKITA bwana. Sijui huwa wanawaza nini!
Jizazi...
Mzee, kule gasuma ni habri ingine. Imagine ugali kuuuubwa dagaa wanaogelea.Ushindwe. Hakuna mahali kuna chakula kizuri kama Bariadi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni Madogori. Ni ngoma maarufu huko kisiwani UkereweHuo ni mziki gani Mtumishi?
Niko hapa nacheka kama mazuri vile. Kilichokupeleka mpaka vijijini huko Gasuma ni nini? Aliyekupeleka huko po pote alipo Mirinda nyeusi inamhusu [emoji16][emoji16][emoji16]Mzee, kule gasuma ni habri ingine. Imagine ugali kuuuubwa dagaa wanaogelea.