Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,927
- 12,454
Niko hapa nacheka kama mazuri vile. Kilichokupeleka mpaka vijijini huko Gasuma ni nini? Aliyekupeleka huko po pote alipo Mirinda nyeusi inamhusu![]()

Niko hapa nacheka kama mazuri vile. Kilichokupeleka mpaka vijijini huko Gasuma ni nini? Aliyekupeleka huko po pote alipo Mirinda nyeusi inamhusu![]()

Kwa kweli maneno mengi sijawahi hata kuyasikiaJizazi...
Ubaya wao huwa wanapendekeza haya maneno halafu wanabaki nayo huko huko huku kwa watumiaji hayafiki na wala hayatumiki.
Nimeshawahi kuisikia hiyo ngoma utotoni, hata sikumbuki inachezwajeHii ni Madogori. Ni ngoma maarufu huko kisiwani Ukerewe
Njoo nikufundishe mtumishi...Nimeshawahi kuisikia hiyo ngoma utotoni, hata sikumbuki inachezwaje
Sent using Jamii Forums mobile app