Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,133
Tobaa.
Nmeogopa mie [emoji125][emoji125][emoji125]
Tobaa.
Ni kweli kabisa mkuu, tunatamani watoto wetu waje kuishi maisha mazuri lakini ukijiangalia wewe mwenyewe mzazi tu huelewei
Daah nimeshtuka[emoji85][emoji85][emoji85]
View attachment 2138866
Mweeh..mnashindwa hata kumheshimu mwenyekiti[emoji87][emoji87]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
achu tu yani tuliwalaumu sana wazazi wetu kwanini hatuna mawe kama wakina ninii,lakini kumbe hatukujua kuwa hii safari ina mambo mengi sana na kupata au kukosa yote mipango ya mola, sasa tunauishi ule msemo usemao mwanangu kua uyaone [emoji29]Ni kweli kabisa mkuu, tunatamani watoto wetu waje kuishi maisha mazuri lakini ukijiangalia wewe mwenyewe mzazi tu huelewei