alipigwa bomu au vipi???
SIJUI ALIWAZA NINI
mkuu umetukumbusha mbali sana wadau
remove "son" weka "head"Dickson[emoji16]View attachment 2137745
natamani kuwa single ila huo ni upotezaji wa rasilimali!
[emoji16] nilitaka nimbatize hivo lakini nikaona acha aitwe dickson turemove "son" weka "head"
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Obwerenyong'ong'ming'ong'wang' Hilo ni soko moja huko Wilayani Rorya.Watu na majina yao aisee..
Nimeito Fb mwenye uwezo anisomee..
Elpipitadichetakapuellalactose Lad Wekaldo Dynamîte