[emoji1787][emoji1787]
Tuendelee kuhangaika kwa ajili ya kesho yetu mkuu[emoji120]achu tu yani tuliwalaumu sana wazazi wetu kwanini hatuna mawe kama wakina ninii,lakini kumbe hatukujua kuwa hii safari ina mambo mengi sana na kupata au kukosa yote mipango ya mola, sasa tunauishi ule msemo usemao mwanangu kua uyaone [emoji29]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah..,[emoji16][emoji16] kikubwa uhai lakini
[emoji16][emoji16] mimi kabisa
Kikubwa uhai