WaBongo bana
Wa kwanza atakuwa joti.! Haahhahaaa
Uanaume kaazi kwelikweli.
Jamaa inaelekea nikaribu mkuu wa Uwabata.
Huyu ni Mimi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wataanza kuwaza ujinga kumbe ni picha ya Utumbo tu!
War is not that sexy. Don't romanticize it!