Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,259
- 3,601
Mungu anakuona



Hilo pause sasa
Si alifiwa na mama yake kule Mbeya huyu? Huo msiba huko haukumpa uzoefu? Au kwa vile huu wa dada yake ni wa mtu mkubwa?
Pole sana. Watoto wa Kiafrika tumepitia mengi but we emerged strongerMe s wakishua lkn slagi ukoko, ilikuwa hiv-:
Kipind npo mdgo nlipenda sana ukoko, kias kwamba n bora nkose wali lkn ukoko nile. Mpk sku nlipokula ukoko wa mama yangu mdgo(mke wa mdogo wake baba) alioubakisha aje kula usku, hii sku stakaa nisahau maaan nlichapwa jaman looh! Ningekufa ile sku.
N ukoko tu lkn ulinitokea puani, maana nliula bila kupewa kisha nkakataa kuwa nmekula. Taarfa ikafka kwa mzee Massawe jaman nilichapwaa.
Tangu sku hiyo skuwah kula ukoko tena, na katu siutamani. N miaka ming imepita huwa namkumbushaga baba, tunabaki tu kucheka lkn nlichapwa haswaaaa. Lkn ilinisaidia kama kitu sjapewa kamwe sgusi mpk uzee wangu huu.![]()
Alishagafilisika? Haya siyo mawazo ya mtu tajiri hayaTop ya vituko mitandaoniView attachment 2129542



😅huyo ndio Le mutuz, sio tu mama yake,kaka zake wawili pia walifarikiSi alifiwa na mama yake kule Mbeya huyu? Huo msiba huko haukumpa uzoefu? Au kwa vile huu wa dada yake ni wa mtu mkubwa?
Kuna mila na desturi nyingi sana za misiba na maombolezo na asijifanye kuwa ya wazungu ndiyo bora!
Lazima apewe udiwani, hata akipata kura moja kama pasikali
Pole sana. Watoto wa Kiafrika tumepitia mengi but we emerged stronger
Sasa unashikwa na nini?Hata homa imegoma kunishika, yaan sishikiki![]()
