Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,557
Mkuu bado macho yana kiza kinene!
Mkuu bado macho yana kiza kinene!
Watu wengi hawajui hii shida aliyoipata Michael.Lakini Michael haikua kupenda kwake kujichubua hivyo. It's just alikua kwenye Denial state, akashindwa kuCope na hali yake aliyonayo. Akaamua ajichubue
Ni wachache sana hujikubali wakikumbwa na hali hiiView attachment 2123195
Na badoo shwaini zake...Tamaa mbayaView attachment 2123308
Charger ya kutegesha hiyo

Male besties saizi yao ni kuwalima mitama tu. You can't be a male bestie to my girl...ai wili kili yu








