Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FLs01Y6XEAEfcrQ.jpg
 
BENSON AMEKUBALI YAISHE...

BENSON:-Hii Agnes naitwa Ben, mimi ndo Yule tulikutana Katika bus Jana Wakati tunatoka Moro kuja Dar, tulikaa Wote, nikakuomba namba yako ya Simu, unanikumbuka?

AGNES:-ook, yes.. mambo?

BENSON:- Poa Agy , nimefurahi kupata Rafiki mzuri, Pia nilifurahi kuwa na Wewe siku ile ya safari yetu Kutoka Moro kuja Dar....hakika Wewe ni mrembo na mcheshi sana..nilipenda ulivyo Vaa na perfume uliojipulizia siku ile I u.

AGNES :-usijali Ben

BENSON :-ningependa tufahamiane zaidi Agnes

AGNES :-kivipi ?

BENSON :-yaani tufahamiane kiundani zaidi , Nikufahamu vingi Kuhusu Wewe na Wewe ufahamu vingi kuhusu Mimi..

AGNES:-ok, mimi naitwa Agy nina miaka 22 , single Girl, ..ninamiliki nyumba 2, nyumba Moja naishi mimi na wafanyakazi wangu, nyumba moja napangisha watalii, nina Gari mbili Harrier old model, na IST new model, nina Simu IPhone 11, natumia elfu 30 kila Siku kwaajili ya mawasiliano ya ndani na nje ya nchi,,, Napenda kutolewa out nje ya nchi kwa wiki mara Moja upo,, siwezi kumiliki Mwanamme mmoja Mwezi mzima au kama Ikinilazinu kufanya hivyo inabidi huyo mwanaume awe tayari kunigharamia yote haya Kila mwezi la sivyo lazima nibadilishe upo , Pia Napenda kuwa na mwanaume anayenijali na kunisikiliza shida zangu sawa......

BENSON :-hongera, upo vizuri sana

AGNES:- ok, vipi kuhusu Wewe?

BENSON:- Nimepanga vyumba viwili, Nina Mke Na Watoto watatu, Nawapenda sana.. Nampenda Sana Mke Wangu
 
Lakini Michael haikua kupenda kwake kujichubua hivyo. It's just alikua kwenye Denial state, akashindwa kuCope na hali yake aliyonayo. Akaamua ajichubue

Ni wachache sana hujikubali wakikumbwa na hali hiiView attachment 2123195
Mbona wapo wengi tu ambao wamejikubali? Maiko alizingua tu bana
Screenshot_20220218-122749_Chrome.jpg
Screenshot_20220218-122704_Chrome.jpg
Screenshot_20220218-122731_Chrome.jpg
Screenshot_20220218-122626_Chrome.jpg
 
BENSON AMEKUBALI YAISHE...

BENSON:-Hii Agnes naitwa Ben, mimi ndo Yule tulikutana Katika bus Jana Wakati tunatoka Moro kuja Dar, tulikaa Wote, nikakuomba namba yako ya Simu, unanikumbuka?

AGNES:-ook, yes.. mambo?

BENSON:- Poa Agy , nimefurahi kupata Rafiki mzuri, Pia nilifurahi kuwa na Wewe siku ile ya safari yetu Kutoka Moro kuja Dar....hakika Wewe ni mrembo na mcheshi sana..nilipenda ulivyo Vaa na perfume uliojipulizia siku ile I u.

AGNES :-usijali Ben

BENSON :-ningependa tufahamiane zaidi Agnes

AGNES :-kivipi ?

BENSON :-yaani tufahamiane kiundani zaidi , Nikufahamu vingi Kuhusu Wewe na Wewe ufahamu vingi kuhusu Mimi..

AGNES:-ok, mimi naitwa Agy nina miaka 22 , single Girl, ..ninamiliki nyumba 2, nyumba Moja naishi mimi na wafanyakazi wangu, nyumba moja napangisha watalii, nina Gari mbili Harrier old model, na IST new model, nina Simu IPhone 11, natumia elfu 30 kila Siku kwaajili ya mawasiliano ya ndani na nje ya nchi,,, Napenda kutolewa out nje ya nchi kwa wiki mara Moja upo,, siwezi kumiliki Mwanamme mmoja Mwezi mzima au kama Ikinilazinu k hi fanya hivyo inabidi huyo mwanaume awe tayari kunigharamia yote haya Kila mwezi la sivyo lazima nibadilishe upo , Pia Napenda kuwa na mwanaume anayenijali na kunisikiliza shida zangu sawa......

BENSON :-hongera, upo vizuri sana

AGNES:- ok, vipi kuhusu Wewe?

BENSON:- Nimepanga vyumba viwili, Nina Mke Na Watoto watatu, Nawapenda sana.. Nampenda Sana Mke Wangu
nyooo
 
Back
Top Bottom