Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
My gender
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pajama tu, vitanda magodoro watu wananunua kwa pesa ngapi
Zamani kipindi tupo kwenye Sunday School na Shirika la mtoto Yesu kuna mama mwalimu wetu nilikua najua ni Albino maana alikua amebabuka karibu mwili wote. Baadae ndio nikaja kugundua sio albino bali Vitiligo. Ila alikua anajikubali hadi leo hiiMbona wapo wengi tu ambao wamejikubalu? Maiko alizingua tu bana
View attachment 2123201View attachment 2123202View attachment 2123203
View attachment 2123204
Yaani kama umenisema mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sio boi ila ninayo pia[emoji137]View attachment 2123285
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kwa nguvu hadi nahisi majirani wameshtuka[emoji30][emoji30]View attachment 2123286
[emoji12][emoji12][emoji12] hebu niache
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pajama tu, vitanda magodoro watu wananunua kwa pesa ngapi
Yaani kama umenisema mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sio boi ila ninayo pia