Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,936
- 3,940
....haha
Sabaya alianza hvhv
Nikikumbuka nalia
You're doing great and I'm glad you exist
Brother unaongelea haya ambayo wakibandik wankuwa kama mashetani?Huo ndio ulikuwa urembo asilia na halisi sio haya maplastiki ya kubandika na super glue![]()
Halafu unachapiwa na bodaboda dah!



Barabara gani inabanduka tu kama mkeka?
Una uhenga gani wewe. Miaka 26 nao uhenga dah!Tupooo aisee nime kumbuka mbalikulikuwa kuna maua fulan hiv mekundu tuna bandika na vidole una ning’iniza ili uonekane


