The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,129
- 13,759
Hahaa hizo suruali zisifike Bongo .Haya ni matumizi mabaya ya picha.. Umepiga upande usio sahihi kabisa[emoji31]
Hahaa hizo suruali zisifike Bongo .Haya ni matumizi mabaya ya picha.. Umepiga upande usio sahihi kabisa[emoji31]
Tupooo aisee nime kumbuka mbali 😂😂😂 kulikuwa kuna maua fulan hiv mekundu tuna bandika na vidole una ning’iniza ili uonekaneWahenga wamama mkuje hapa! Mlioweka mauwa kwenye kucha mpooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji122][emoji122]View attachment 2114743
Huo ndio ulikuwa urembo asilia na halisi sio haya maplastiki ya kubandika na super glue[emoji23]Tupooo aisee nime kumbuka mbali [emoji23][emoji23][emoji23] kulikuwa kuna maua fulan hiv mekundu tuna bandika na vidole una ning’iniza ili uonekane