Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tuma picha nzuri
.
Screenshot_20220208-144710~2.jpg
 
Nilienda dutwa kwa wasukuma, nikakuta wanakaanga chapati kama andazi. Yani wanjza mafuta kwenye kaango (frying pan) kisha wanadumbukiza chapati inaiva humo
Ulienda Dutwa kutafuta nini? Ni zile dhahabu za pale ama?

Hizo hazikuwa chapati bali michembe labda. Na ulikosa wenyeji tu. Pale Dutwa kuna kamkahawa kamoja wanapika chapati nzuri sana kiasi kwamba mpaka huwa nazikumbuka [emoji16]
 
kuna mbunge mmoja huko anaropoka kuwa waweke kodi mpk youtube,instagram etc,
hvi hawa wanajua hustle mpk yakufikia kulipwa kule......."wanapata hela nyingi wanaendesha ma V8 na hawalipi kodi"
like serious???
Viongozi wetu na wawakilishi wetu wengi hawakupaswa kuwepo kwenye hizo nafasi walizokuwepo[emoji16][emoji16]
 
CNP

YAKO NAMBA NGAPI NA NGAPI
KAMA UMEWAI FANYA HAYA TUBU.
1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana
2. Nishukie wapi?
3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka
4. Ubaya wako utaingiza yote
5. Uingize kichwa tu
6. Funga mlango kwanza
7. Sikai sana uharakishe
8. Tufanye tu na nguo nawahi bana
9. Navua lakini hatufanyi sana
10. Anza kuvua wewe kwanza
11. Hilo lote litaingia kwa nani?
12. Bana wee kua mpole kwani inaenda wapi?
13. Acha nivue mwenyewe usinichanie chupi yangu bana
14. Ngoja nikakojoe kwanza, choo kipo wapi?
15. Zima taa kwanza
16. Washa redio sasa kwanza
17. Fanya haraka nataka kuondoka, na kama hauna kondom sitaki
18. Nikipata mimba utajijua
19. Usiniharibie nywele zangu
20. Subiri nifunge nywele kwanza
21. Unaning'oa nywele wewe
22. Haya endelea sasa
23. Huko umeweka pengine weka hapa
24. Ingiza pole pole sasa na wewe, pupa tu ndo zimekujaa
25. Usiweke yote kwanza
26. Usimwagie ndani hivoo
27. Paka mate kidogo pamekauka
28. Oishiiii ulikua wapi siku zote (akishanogewa sasa apo [emoji16][emoji16])
29. Kwani umekula nini mbona humwagi? ( show imekua ya kibabe[emoji16][emoji16])
30. Kile cha kujipangusia kipo wapi?
JAMANI WANAUME TUNAKUTANA NA SHIDA ACHENI TU, NA HAPO TUNAKUA WAPOLEEEE KILA ANACHOSEMA INABIDI TUFATE TU[emoji28][emoji28]

UNAKUMBUKA NAMBA NGAPI NA NAMBA NGAPI HAHAHA
 
Taifa la vijana wa hovyo...

Hainihusu hata moja. SYB ni mbinguni moja kwa moja [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom