Nilienda dutwa kwa wasukuma, nikakuta wanakaanga chapati kama andazi. Yani wanjza mafuta kwenye kaango (frying pan) kisha wanadumbukiza chapati inaiva humo
Kama zilikua muundo kama huo ni sawaNilienda dutwa kwa wasukuma, nikakuta wanakaanga chapati kama andazi. Yani wanjza mafuta kwenye kaango (frying pan) kisha wanadumbukiza chapati inaiva humo
Tuma picha nzuriKama zilikua muundo kama huo ni sawa View attachment 2112435