Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini yeye asiwe na hela zake?
View attachment 2100478
Nguvu ya mchepuko[emoji23]
Ni Zuma bila shakaZuma all day [emoji122][emoji122][emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 2100285
Kama ndoa nzuri kwa nini yeye kakimbiaAna haki ya kukuhubiria kwa sabab ana uzoefu wa ndoa mbili
Ndio nimemuacha na ukungwi wake[emoji23][emoji23][emoji23] makungwi wengi ni wanawake walioachika.
Duh[emoji374][emoji19]Kwa nini yeye asiwe na hela zake?
View attachment 2100478
Na ndio maana inabid kukaa nae chini aelezee upande hasi wa ndoa unaosababisha utengano na namna ya kukabiliana naoKama ndoa nzuri kwa nini yeye kakimbia
Hii kwa sie vipipa haitufai kabisa
Kila ndoa ina mapito yake kwa nini nikariri mapito ya ndoa ya mtu mwingine?Na ndio maana inabid kukaa nae chini aelezee upande hasi wa ndoa unaosababisha utengano na namna ya kukabiliana nao![]()
Unapopata semina elekez inakujengea kujiamin hata km utakutana na mazingira tofaut.Kila ndoa ina mapito yake kwa nini nikariri mapito ya ndoa ya mtu mwingine?
Aah we hebu niache mimiUnapopata semina elekez inakujengea kujiamin hata km utakutana na mazingira tofaut.
Mpaka hapo Anko wangu umegoma[emoji3][emoji3][emoji3]Kila ndoa ina mapito yake kwa nini nikariri mapito ya ndoa ya mtu mwingine?
Na kwa nin nikuache ilhali ndio kwaaanza naanzaAah we hebu niache mimi