Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,929
- 12,470
NdiyoHata wewe huna tako?

Ana haki ya kukuhubiria kwa sabab ana uzoefu wa ndoa mbiliKuna dada yangu mmoja ilikuwa kila nikionana nae ananihubiria habari za kuolewa nikakata mguu. Cha ajabu yeye ndoa mbili zimemshinda