Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wenye dunia yao wanacheka.
IMG_20220128_183052_033.jpg
 
Tusio na matako mnatusimanga sana asee[emoji35]...maana tunakalia vifuu[emoji41]
Sasa wewe shida yako ni ipi? Bora uwe nke ya mutu au uwe barmaid unashikwa shikwa tako?

Bora usiwe na tako lakini umeolewa na upo na familia yako. Wacha mume akagegede matako hayo lakini mwishowe wee ndio unarithi mali za hubby akidedi
 
Back
Top Bottom