Tusio na matako mnatusimanga sana asee[emoji35]...maana tunakalia vifuu[emoji41]BArmaid asie na tako anakuharibia biashara tuu
[emoji16][emoji16] not to this eksitenti
Sure.. ugali unaweza kula mfululizo bila hata kukinai.Ndo maana mi nakupenda. Yaani huwa hupindishi ukweli.
Chakula kitabakia ugali tu nyingine hizi mbwembwe tu. Wasukuma hoyeeee! [emoji16][emoji16][emoji16]