hakuna la urongo hata moja hapoMmiliki wa mpira akiitwa na mamake ndani, basi mechi imeisha, hicho ndio kipyenga cha mwisho, au akijeruhiwa, au akichukia tu ndo basi.
Kingine ilikua kama mmiliki amepewa majukumu na mamake, ilikua inabidi tumsaidie sote kuyamaliza mapema ili aruhusu mpira,
Kule kwa mbaali kuna show moja la kibabe linaendelea wakat hapa mwanzo mzee baba Abdallah ameshindwa kuvumilia amesimama dede akisaka kipoozeoUmeona kama mimi-
Baraka MpenjaView attachment 2099384
Maskhara ya ukwel si mazurKwa huu ushindi mliopata baada miaka 4.
Nimeanza form four mpaka nimemaliza sijaona mkibebakombe, kazi yenu kubeba viongozi wenu.
View attachment 2098927













