Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huenda ndiyo mabadiliko ya tabia nchi ya wakati huo.
Mvulana wakati huo alikuwa ana miaka 500,
Mtoto ni miaka 1-300[emoji23][emoji23].
Mzee kikongwe miaka 900-2000.
Watu walifaidi dunia aisee.
Na utakuta mtu ameishi miaka yote hiyo lakini hakuwahi kumcha mungu.
Ahahhhahah! Kwamba kuish kwng n yapasa umch Mungu
 
Screenshot_20220123-103430.jpg
 
Back
Top Bottom