Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_1642893041447.jpg
 
A short story kutoka magazeti ya Shigongo

Kabaharia Mark Constantine kalishikwa ugoni redi hendedi na Mwanaidi Mustapha ambaye ni mke wa mtu huko Rocky City.

View attachment 2089597
View attachment 2089599

Mwenye mke hakutaka kukaua bali aliamru alipwe laki 5 kwa kutafuniwa mke wake. Kabaharia kakaona isiwe kesi kakaamua kutoa ahadi mbele ya mashahidi.
View attachment 2089601

Mchezo ukaisha na kila mtu akaendelea na mishe zake. Mwanaidi Mustapha akaondoka na mumewe. Na hadithi yetu inaishia hapo.

Funzo: Mke wa mtu ni sumu

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriYaNdani
Kwa staili hiyo mke wa mtu aweza kuwa wako, ili mradi uwe nazo za kulipa faini
 
Back
Top Bottom