Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG_20220122_135846_702.jpg
 
Mimi mwenyewe kweli nawazaga hii feni ikianguka itakuwaje, na mara nyingi feni hizi zinakuwaga gest!
Hapo aidha unamgojea mtu au mmeshamaliza katangulia yeye kutoka, ile unajiegesha kitandani ndio wazo la feni kuanguka linakuja!
Feni lipangue kichwa asee na linaondoka na roho yako[emoji45],sijui utaenda kujibu nini kwa mola wako[emoji23]
 
Back
Top Bottom