Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
IMG-20191005-WA0166.jpeg
 
Mkuu hii picha ni ya mwalimu wangu na hapo ni shule niliosomea o- level tulikuwa tunamuita Jina la utani kibenju kwa kuwa Jino lake limekatika.
Anafundisha geography lakini Kashika abort ya physics [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Huo mzigo wa fimbo ndo zilikuwa Zake kulete mizigo ofisin kama fimbo zimeisha.
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]duuu wapi iyo
 
My new iPhone 11[emoji3][emoji2][emoji1]
 
Back
Top Bottom