Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

wali kuku.jpg
 
Iangalie tena kwa makini kuanzia juu.na kushuka. Utaona mwanamke yupo mtupu na sehemu zake za chini zinaonekana juu ya yule mwanamke aliyevaa nguo.
Nimeona hivyo lakini picha haiko hivyo ulivyoona wewe, iangalie vizuri mara mbili mbili, mara nyingi picha kama hizi zinakuteka kule mawazo/mtizamo wako unapouelekeza!
 
Back
Top Bottom