Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

70133972_505920873286844_4378464367205421049_n.jpg
 
Kama wewe umeufumbua mkuu

Naomba unijuze, maana mimi naona mapichapicha tu.
Mtoto kavaa miwani ambayo imelingana na usawa wa jicho la baba yake, hivyo jicho la baba yake limezibwa na miwani ya mtoto.

Ila pua na mdomo wa baba yake vimeonekana. Kwaiyo hapo huo mdomo unaouona ni mdomo wa huyo baba na pua unayoiona hapo ni ya huyo baba. Pua na mdomo wa huyo mtoto hauonnekani kwasababu vimeelekea kwenye shavu la baba yake, na taswira inayojengeka hapo kama ukiangalia kwa haraka inaonesha kua kuna sura moja ambayo ukiicheki ni kama ya mtoto vile vile ukiicheki tena inaonekana kama ya mtu mzima
tapatalk_1570123396330.jpeg
 
Back
Top Bottom