Hayo matege ya ticha nimeyapenda[emoji7]
Hapo ulichopenda ni hayo mauaHayo matege ya ticha nimeyapenda[emoji7]
Mawaridi[emoji23]
Njoo uchukue maua ukayande, yapo mengiMawaridi[emoji23]
Halafu uchokozi utaacha lini?
Nashindwaga kuelewa kwakweli,ukijibu unajeuri,ukikaa kimya unadharau yaan wamama bana[emoji41]
Nakuja kuyachukua nitunzie,yasinyauke