siyo Mange Kimambi kweli huyo???
Kupata watoto siyo jinai ya kukosa mume.Huyo mshkaji ni mbongo movie, sijui kama wapo serious hapo au ndiyo acting.
Huyo dada nilisikiliza interview yake Clouds; kama nakumbuka vizuri aliishi na mwanaume ile sogea tukae na kubahatika kupata watoto wawili, ila wakaja kuachana baadaye
Sogea tukae mtumishi![]()


Inaonyesha hapo kwa mtumishi kuna kile kitu unapendaga






Mfanyie maombi arudi kwenye mstari
Mkuu, sijaelewa hii
Mimi ni ....
