Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20220116_155917.jpg
 
MACHO YALIYOLEGEA YANAONA MBALI!

Aliyekueleza kuwa Kampeni za Uchaguzi wa Rais nchini Tanzania mwaka 2025 hazijaanza basi huyo ni wale bahaji (wachawi)! Wenzako wameshaanza kampeni zao kitambo. Nenda kajionee mabango yaliyotamalaki Jijini Dar es Salaam katika Barabara ya Morogoro, Barabara ya Pugu na kwingineko! Tazama mabango yale na maudhui yake. Unafikiri mabango yamebeba picha na kaulimbiu za Mgombea Udiwani wa Kata ya Mchafukoge? Mawe! Mambo haya yanamhitaji Askofu kuyaongelea kwani yeye hata akifa atakuwa amefia kazini kama Yohana Mbatizaji! Wengine kuleni nazi au kuleni kobisi!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
FB_IMG_1642340053821.jpg
 
Back
Top Bottom