Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20220115_204935_479.jpg
 
Huyu mwamba keshamvalisha pete.
Siku chache zijazo avuta mke halali nyumbani View attachment 2082465
Huyo mshkaji ni mbongo movie, sijui kama wapo serious hapo au ndiyo acting.

Huyo dada nilisikiliza interview yake Clouds; kama nakumbuka vizuri aliishi na mwanaume ile sogea tukae na kubahatika kupata watoto wawili, ila wakaja kuachana baadaye
 
Back
Top Bottom