Mimi nimeshapona. Nimepima jana niko negative. Binti hali kadhalika japo kuna viishu vidogo bado anamalizana navyo. Kesharudi shuleni.
Asante sana kwa sala zako. Naamini tulikuwa katika maombi yako. Hatuna cha kukulipa ewe binti mwema wa Mungu![]()
Tuongee leo ikiwezekanaWow; that's a relief. Mungu aendelee kuwatunza. You are in my prayers always.



Tuongee leo ikiwezekana![]()
Kale kwa babaako.
Ni mtari wangu ambao nausoma kila nikifungua biblia inatia moyo sanaNi suala la wakati na Bahati
Mhubiri 9
11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
5 x day.Kwa wanaume ni angalau mara 21 kwa mwezi!
View attachment 2079489
Lilikuwa LA hisia Kali sana
Karibu kumwangalia madam vizuri