Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako


shedy_quotes~p~CYjvU4YqJFd~1.jpg
 
Ngumu sana. Ndo maana njia ile iendayo uzimani ni nyembamba na waionao ni wachache!

Ndiyo sababu pia tunaamini kuwa wokovu ni kwa neema tu na siyo matendo yetu!

Eti jitu lililonichukulia demu wangu mwenye msambwanda wakati sina kitu leo ndo nilipende na kuliombea. We ulisikia wapi?
Liombee liendelee kuishi
 
Back
Top Bottom