Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Imebidi niingie kwenye ukurasa wa Bunge.
Kwenye news and events kuna heading. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Ajiuzulu.
Hapo utakuta taarifa kwa vyombo vya habari kuwa yeye Job ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama chetu kujiuzulu nafasi yake.
Para 2 ‘Pia nakala ya barua yangu hiyo ya kujiuzulu nimewasilisha kwa katibu wa bunge…’
Hoja yangu:
1. Kwenye ukurasa wa Bunge, ipo tu taarifa kwa vyombo vya habari ambayo ndo imesambaa mitandaoni.
2. Barua ya Job kujiuzulu haipo.
3. Katibu wa Bunge hajakiri kupokea barua y job
4. Hakuna mahali katibu wa chama chetu amekiri kupokea barua ya Job
5. Sijaona mahali hiyo nafasi imetangazwa kuwa wazi

My take: Job ni Spika halali wa Bunge.
Kuna watu wabishi mno
 
Luka 6:27,28
FB_IMG_1637822863072.jpg
 
Back
Top Bottom