Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Ngumu sana. Ndo maana njia ile iendayo uzimani ni nyembamba na waionao ni wachache!Luka 6:27,28View attachment 2078679
Ndiyo sababu pia tunaamini kuwa wokovu ni kwa neema tu na siyo matendo yetu!
Eti jitu lililonichukulia demu wangu mwenye msambwanda wakati sina kitu leo ndo nilipende na kuliombea. We ulisikia wapi?






