Kwa mfano ikitokea amekufa ni hatua gani zitachukuliwa dhidi ya huyo mwanaumeMabaharia siyo watu [emoji1545]
View attachment 2074478
Hiki ndiyo kitu warembo wengi wanakililia[emoji56][emoji56].Mabaharia siyo watu [emoji1545]
View attachment 2074478
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa
N msabato huyuuu[emoji1787]
N kwamba mabshoo s waoaji [emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2074063
Sikuona Mtumishi wangu mwema. Nisamehe! Sikupuuzia [emoji1545][emoji1545]
Ukweli ni kwamba nimeimarika sana. Hata jogging zangu za asubuhi nimezianza. Sema tu mwili bado haujakaa sawa. Uchovu mno na tamaa ya kulala so I am taking it easy. Sema tu mwenzangu yeye bado kidogo. Anatapika sana na homa ya kupanda na kushuka. Ila kula anakula so kwa hilo tunamshukuru Mungu. Atakuwa nyumbani kwa siku 10![emoji15][emoji15]
Nyie huko vipi? Hamjambo?
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Wewe ni lulu yenye thamani sana katika shimo la takataka na uliletwa hapa duniani ili kuwatia moyo wasafiri wote wenye mioyo iliyopondeka katika ile safari ndefu ya kujisaka na kujitafuta. May God continue blessing that blessed broken road...that led me straight to ......[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kuna muda wanawake siwaelewagi, wanataka usawa wakipewa nafas wanalalama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me nasubir 2024
Teh teh teh teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
View attachment 2074488
The elitesWahuni...they're back!
View attachment 2074073