Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji16]
IMG_20220107_200828.jpg
 
Mimi ni mbishi kutumia net..unajua wale wabishi? Ila safari hii nimenawa mikono nimeenda kutafuta net nikiwa na akili zangu timamu bila hata kushawishiwa na mtu. Sio kwa mbu hawa aisee

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulikuwa mbishi maana ulikuwa haujakamatika. Mi mwenyewe neti sipendi ila mbu sijui wana mpango gani na damu yangu, wanaipenda mnooo. Hivyo sina namna.
 
Mimi nikilala kwenye net huwa naona kama nimebanwa sipumui vizuri ila safari hii nimepatikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nikilala kwenye net huwa naona kama nimebanwa sipumui vizuri ila safari hii nimepatikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huwa unavaa night dress/pajamas au na zenyewe huwa zinakubana? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom