moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,360
- 775,891
Malaika alienaswa ndo huy mwenye Raba [emoji23]
Malaika alienaswa ndo huy mwenye Raba [emoji23]
Sasa mama unataka wakale polisi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uvi-CCM wamekupigania sana mama dhidi ya Mgalilaya. Wakumbuke tu kwenye hivyo vinafasi na usiwanange na Kiswahili chako fasaha hichi!
View attachment 2072095
Huyu naye anapigania teuzi kama ilivyokuwa zama za JK.[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2072096
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] weka neti.Yaani unaweza ukashangaa asubuhi imekufikia kisa tu kufukuza mbu
Malaika ana raba kali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nahama [emoji1241] naenda wapi kwa mfano!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Malaika ana raba kali
Mimi ni mbishi kutumia net..unajua wale wabishi? Ila safari hii nimenawa mikono nimeenda kutafuta net nikiwa na akili zangu timamu bila hata kushawishiwa na mtu. Sio kwa mbu hawa aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] weka neti.