Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1640930253325.jpg
 
1989 mtoto alitekwa akiwa na miaka 4 huko China na kwenda kuuzwa
Baada ya miaka 33 ametuma ramani ya Nyumba yao kwa kumbukumbu za utotoni na kufanikiwa

Hatimaye akutana na mama yake mzazi baada ya kupima [emoji3459]
IMG_3789.jpg

IMG_3790.jpg
 
Back
Top Bottom