GoodnightDaah Mtumishi, mbona nishafika kitambo na picha nishatuma jamani




Goodnight![]()
We si umegoma kuja PM bana wakati nimeifungua mahsusi kwa ajili yako. Sawa tu Mtumishi mwema haina neno. Yote maisha tu!Kwa hiyo nilale, nikiamka nitakuta muamala eeh?
Nitume screen shot hapa?We si umegoma kuja PM bana wakati nimeifungua mahsusi kwa ajili yako. Sawa tu Mtumishi mwema haina neno. Yote maisha tu!
Screenshot kwenye app haitaonyesha cho chote mtumishi. Nafunga rasmi sili siogi wala sinywi mpaka uje PM. Nikidedi shauri yako! Utakuwa umeua mtumishi - dhambi mbaya kabisa!Nitume screen shot hapa?