Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji16][emoji16][emoji16] Bongo ukiwa na steresi ni uamuzi wako tu...
mcinika___wa___lamar~p~CYD0jN6MrvN~1.jpg
 
aki mods wananitafutia ubaya na wananch wenzangu [emoji17], wanabadli like kuwa dslike [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].

sasa hiv nitaanza kuweka [emoji1787] au [emoji7], pole mwananchi mwenzangu hata me nmeshtushwa
Muone huyu Manka.

Meme zote za kuwatania Wachaga unanilima dislike...na zingine kibao!

Ningekuwa nawalima dislike wote wanaotania Wasukuma ningekuwa king wa dislike [emoji16][emoji16][emoji16]

Ukinikasirisha nitakutafuta physically nilipize hizi dislikes ohooo!!! [emoji51]

Ila relax. Tunataniana tu bana na kucheka [emoji122][emoji870][emoji870][emoji870]
 
Back
Top Bottom