Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Wanaume hatueleweki dadangu. We ukienda kwa mwanaume nenda ukiwa umejiandaa kwa lo lote [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo hiyo mbembetule. Kwa hiyo tukicheza sisi wanyaki vimbaumbau tusio na misambwanda; unakuwa hui-enjoy mbembetule?Ile ngoma ya kujiburuta chini wakati wa harusi...na misambwanda ya Wanyaki ile huwa inanikosha sana dah...samahani Mtumishi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
kwan lengo lilikuwa n kupiga nn??
Hakuna Mnyaki asiye na msambwanda awe kimbaumbau ama la! Epuka matapeli mtumishi [emoji16][emoji16]Ndiyo hiyo mbembetule. Kwa hiyo tukicheza sisi wanyaki vimbaumbau tusio na misambwanda; unakuwa hui-enjoy mbembetule?
Hakuna Mnyaki asiye na msambwanda awe kimbaumbau ama la! Epuka matapeli mtumishi [emoji16][emoji16]
Mbembetule forever! [emoji39][emoji39]
Jamani Mama Mchungaji; mbona hivyo? Niko tayari kulipa milioni moja keshi ili kuona picha yako full mtumishi. Deal?Daah kwa hiyo mimi sio mnyaki, au kisa nimechanganya ndiyo maana sina msambwanda?