[emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Labda tu mabaharia wameshindwa kumridhisha wakaona wamzushie jambo kwa sababu anavyoonekana mkiingia ulingoni kunako sita kwa sita ni ama zake au zako! [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa walipoteza nafasi ya kuwa mashujaa wa kweli kwa uoga na matumbo yao tu. Walikuwa wapi kuyasema haya wakati Jiwe mwenyewe yupo? Sasa kila mtu anataka kuonekana shujaa lengo nadhani ni kuwa relevant kisiasa na hata kukumbukwa na mama. Mashujaa wa kweli ni akina Tundu Lissu, Bagonza, Shangazi, Lema...na wengineo ambao hawakunyamaza...na wengine iliwagharimu kweli kweli. To hell with these political opportunists!Viongozi wote wa Kitaifa hasa Rais hawafati sheria japo wanatuaminisha shaeria zipo na tuzifate[emoji16] Magufuli alikuwa anatvunja sheria na akiona sheria hiyo inakuwa ngumu zaidi kuvunja anatunga sheria mpya au kubadilisha sheria hiyo ili iwe rahisi kuvuruga haki za Watanzania [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2061330
Makamanda nanyi bana. Hamuelewekagi sometimes
Mmh watu wafukunyuzi aseee [emoji23][emoji119]Wameshamfukunyua .. Sijui familia yake inajisikiaje?View attachment 2060360