moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,236
- 775,716
Uchawi ndiyo mila pekee tunayoweza kujivunia.Ni Afrika tu ambako bado watu wanajivunia uchawi. Sisi yaani bado sana tena mno! [emoji706][emoji706][emoji706]
Ni vema tuiendeleze, tuiboreshe na tuiweke vitabuni hatimaye tuanzishe vyuo ili watu wa mataifa waje wajifunze.
Jivunie chako.
Sayansi ya NASA ni yao mzee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]