Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Darubini ya kisasa ilitumwa anga za mbali, kwa jina James Webb!
Vile sifa zake zilivyo kama ikifika salama eneo husika na kuanza kufanya kazi kwa ukamilifu, naamini kabisa watu wa dini watarekebisha baadhi ya vifungu kwenye maandiko jinsi ulimwengu ulivyotokea, James Webb anaenda kuwa acha uchi.View attachment 2060890View attachment 2060891View attachment 2060893View attachment 2060894
Kwa hiyo ndio tutaona ulimwengu ulitokeaje?
MUNGU ana nafasi kubwa sana katika uumbaji, sayansi inatafiti kazi za MUNGU na kuzienlight, Kitu kipya kitakuwa kwa wanadamu tu lakini hatutaona Ulimwengu uliumbwaje siku ile.
 
cheka_leo_~p~CXUB8RCqwLZ~1.jpg
 
Hawa walipoteza nafasi ya kuwa mashujaa wa kweli kwa uoga na matumbo yao tu. Walikuwa wapi kuyasema haya wakati Jiwe mwenyewe yupo? Sasa kila mtu anataka kuonekana shujaa lengo nadhani ni kuwa relevant kisiasa na hata kukumbukwa na mama. Mashujaa wa kweli ni akina Tundu Lissu, Bagonza, Shangazi, Lema...na wengineo ambao hawakunyamaza...na wengine iliwagharimu kweli kweli. To hell with these political opportunists!
This is real talk
 
" Kutokana na mazoea ya Wagogo kudharaulika ndio kinachosababisha Mimi kushambuliwa mitandaoni. Kuna baadhi wananiandika vibaya kila kukicha , sio kwa sababu Nina pungufu lolote Ila kwa sababu Mimi ni mgogo." JOB NDUGAIView attachment 2061395
Unajidharau mwenyewe!
Ni mwasiasa gani aliyeachwa salama ambaye siyo mgogo?
 
Back
Top Bottom