Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna mtu kachafukwa huku

Hakuna watu washenzi na takataka tena wapuuzi wakiwa wamejaa upumbavu kama wanaojiita #Manabii. Wengi wao ni waongo na matapeli na wanatumia #NGUVU_ZA_GIZA, Hawapo kwa ajili ya kuwasaidia bali wamekuwa #WANYANG_ANYI WAKUBWA na kufilisi watu..
Hawa manabii ni wajinga mno, wanatumia neno la Mungu kuwaumiza watu, huku Shetani ndiyo misingi yao.

Hosea 6:4
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

Manabii na maaskofu wa leo wengi wao ni #Utopolo na ni #Wezi.
Manabii au mitume gani wapo mijini tu vijijini hawapo?
Screenshot_20211219-220900_Swahili%20Bible%20Offline.jpg
 
Back
Top Bottom