moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,290
- 775,774
Waliwahi kuwa na mbunge aliyehudumu kama Waziri kwenye serikali ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa hawana mbunge wa CCM?
Arcado Ntagazwa, baadaye alikuja kuwa rais wa Mazingira Duniani.
Lakini haijasidia lolote.
Hali bado kama unavyoiona.
Kiangazi kuna vumbi la hatari
Masika ndiyo hivyo