Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Utasikia "bebi tuma na yakutoleaaa"
IMG_20190919_232634_325.JPG
 
Hahaha hujaelewa hiyo code et
Hapo jamaa aligombana na mkewe sasa mkewe amerudi kwao baada ya muda ndio huyo mwanamke amemtumia hiyo picha mumewe
Sasa hiyo picha ukiingalia lengo la demu lilikua ni kumtamanisha mume wake kua hajamiss mgegedo na ndio maana amekaa pozi lenye kuonesha chura ikiwa katika hali ya kimtego sasa yeye hakutaka kusema direct akazuga kua hujammis mwanao
Watoto mara nyingi huwa wanatumika kuunganisha familia. Unakuta mtu mmeshindana na anaamua kusepa kwao.
Wiki tu unakuta anakuja anajifanya amekuja kusalimia mtoto wakati kila siku wanaonana akitoka shule.
Au labda mmeshindana akaenda kwao, yale maswali ya mtoto yanakufanya mmalize ugomvi. Hoo, mama yuko wapi! Anarudi lini? Kwani alifanyaje? Mbona ulisema anarudi leo!
 
Hahahaa ndio maana bibie kamtumia mtoto kama chambo
 
Back
Top Bottom