Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,669
Naona wote tuwe kama wa Nandi ambao huwa nani zao ziko nje ili kila mtu azione. Tatizo ni kwamba wanandi wenyewe wana ndefu sana. Swali ni je does that matter? Nimepitwa na wakati ila nadhani love is more than that.
Ahahahaaaa hii ni kweli kabisa
Yaani sijaelewa kabisaWrong answers onlyView attachment 1206687
Angalia hiyo mijengo yenye rangi nyekundu namna ilivyokaaYaani sijaelewa kabisa
Hapana bana sio mimi, mimi niko zangu iringa saizi we mwenyewe unaonaThat must be you scars!!!!!!